NIKUFAHAMU LYRICS BY EVELYN WANJIRU

NIKUFAHAMU LYRICS BY EVELYN WANJIRU(Refrain)
Nikufahamu zaidi bwana ,
Nikujue zaidi yesu,
Nikufahamu zaidi Yahweh,
Nikuishie milele bwana,x2

Verse1
Nataka nitembee na wewe wakati wote,
Nitembee kwa nuru yako baba,
Nishirikiane na wewe,kwa kila jambo,
Ongoza hatua zangu ,ewe babax2
Ongoza (hatua x3) zangu ,ongoza,
(Refrain)
Verse2
Wewe ni mume wa wajane,
Baba wa yatima ,mfariji wa waliofiwa,
Mtetezi wa wanyonge,
Uwaponya waliovunjwa mioyo ,mioyo eeh
Na kuziganga jeraha zao,baba
Hao watatengemea nani wewe baba,
Ndiposa wanasema

(Refrain)
Verse3
Nikufahamu ,nikujuex4
Nikufahamu wewe oh oh,
Nikupende na moyo wangu wote,

(Refrain)


Comments

Popular posts from this blog

TITLE: CHINEKEM KA (THANK YOU LORD) BY SALVATION MINISTRIES CHOIR

The Great Physician (Salvation Ministry Choir)

Siya Mma Mma Imela Lyrics by Beulah